alphaigogo.com
Hot shot of the day - alphaigogo.com
Raha sanaaaaaa! uzuri na utamu wa inchi yetu. Hapa ni Iringa, na huyu ni rafiki yangu yule alikuwa analia kusikia mvua inapiga kelele ??? kama ulipitwa na hiyo simulizi basi bonyeza hapa mazingira haya yananikumbusha kwa bibi yangu (R.I.P), kitu organic kuanzia udongo, mbolea, hadi mbegu. Basi hapo unga wake wa dona unakuwa mtamuuu halafu upate na kuku wa kienyeji wa kuchemshwa
Alpha Igogo