alphaigogo.com
Hoyce Temu: shukrani za pekee kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ?? Mh. John Magufuli na mkewe Mama Janet - alphaigogo.com
@Regranned from @hoycetemu - Done! Mungu ni Mkubwa na kwa Mara nyingine miminatanzania inatoa shukrani za Pekee kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ?? Mh. John Magufuli na mkewe Mama Janet kwa kuchangia milioni 15 ambapo Sasa zikichanganywa na milioni 15 zilizopatikana kutoka kwa watanzania kupitia miminatanzania tutakuwa tumefikia kiwango na hata kuvuka. @wastara84 mdogo wangu,
Alpha Igogo