alphaigogo.com
Huduma ya haraka kwa upungufu wa sukari mwilini - alphaigogo.com
Ubongo wa binadamu unahitaji sukari ( glucose) kwa mda wote kama gari inavyohitaji mafuta.Sukari hiyo itokanayo na vyakula aina ya wanga, huingia katika mzunguko wa damu na kuzipatia chembechembe za ubongo sukari ya kuendeleza utendaji. Hivyo ni vyema kusema ubongo hauna uwezo wa kuzalisha au kuhifadhi sukari ya kutosha matumizi ya baadaye. Kutokana na hitilafu ya kingosho (dysfunctional pancreas) wagowja wa
Alpha Igogo