alphaigogo.com
HUU NI MWAKA WA KUONGEZA NA KUTENGENEZA MAHUSIANO MAZURI NA WANA WA NCHI WA TANZANIA- Peter Sarungi - alphaigogo.com
Kila mwaka una lengo kuu endelevu linalotimizwa kuanzia mwanzo wa mwaka hadi mwisho wa mwaka. Kwa mimi Simba wa Utegi na Babu wa Kagera nimeamua kuweka mwaka huu 2017 kuwa mwaka wa kutengeneza mahusiano ya kijamii, kisiasa na kiuchumi na wananchi. Mahusiano yanatengenezwa kwa kupitia mawasiliano. Unaweza kunipata kupitia: 1. Public No & Watsup No. +255 713 037 798 2. Facebook ID : Peter
Alpha Igogo