alphaigogo.com
Huwezi kumjua mtu kwa kuongea na wambea na wapika majungu! - alphaigogo.com
Hakuna kitu naheshimu kama mtu kuniuliza kitu mimi mwenyewe haswa pale linapo nihusu! Sasa uwamuzi wa mtu kuamini ninacho kwambia hiyo ni juu yako mwenyewe! Pia uwamuzi wa wewe kutokubadilisha story hiyo ni juu yako mwenyewe!! Mimi nitakupa jibu lile ambalo unahitaji kujua!........Naona kuna watu wanapenda kujua mtu kwa majungu then wakija kugundua kuwa walicho aminishwa siyo kweli wanashindwa ku-swallow
Alpha Igogo