alphaigogo.com
“I was only 22 yrs old when learned I was living with HIV”-Fortunata Kasega - alphaigogo.com
Je ulishapata kusikia life story ya ndugu yetu (Mtanzania mwenzetu) Fortunata Kasega ambaye aligundulika akiwa na HIV akiwa na umri wa miaka 22? tena baada tu ya kuolewa na kupata ujauzito? Alikuja Marekani na ndipo walipo ngundua kuwa ana HIV! Ni kisa cha kusisimua lakini kinafaraja ndani yake. Binafsi naweza shuhudia kuwa nimeona ndugu, jamaa, na marafiki ambao wapatwa na
Alpha Igogo