alphaigogo.com
Idriss Sultan: Unaweza ukawa loyal lakini usiwe blind! - alphaigogo.com
Hii interview naona ilinipita ndio nimeiona leo! https://youtu.be/WwZuyz7UVeE Kwanza nianze kwa kusema hongera sana Idriss Sultan kwa kupata mkataba mzuri wa kuigiza nchini Marekani. Nakutakia mafanikio mema najua utatutoa kimaso maso!.......Unajua mimi nilionaga zile picha za jeshini nikajua kuwa ni mambo yako ya comedy! Kumbe ulienda JKT ?? TRUST: Interview yako nimeipenda sana. Hasa somo la kuwa
Alpha Igogo