alphaigogo.com
“Inahitajika busara kubwa ili kuvunja ukuta”-Peter Sarungi - alphaigogo.com
Na Peter Sarungi (Next Speaker) Kila mtu hapa duniani ana mapungufu yake, inawezekana mtu akayajua hayo mapungufu ama laa asiyajue mpaka aambiwe. Kuwa na mapungufu ni sehemu ya uumbaji wa Mungu maana Mungu hakupi vyote vilivyokamilika na ndio maana tumekuwa na utaratibu wa kibinadamu wa kukosoana, kuelekezana, kusifiana na hata kupingana katika maswala mbalimbali. Sio jambo la ajabu kukubali unapoambiwa mapungufu
Alpha Igogo