alphaigogo.com
Its Fathers’ Month - alphaigogo.com
Namshukuru Mungu kwa mambo mengi sana! Na moja ya vitu au mambo ambayo siku zote huwa nashukuru ni hii zawadi ya mtoto ambayo alinipatia, sina lugha yakuelezea ni jinsi gani huwa namshukuru Mungu sanaaaaa! Mungu alinizawadia zawadi ya mtoto katika umri ambao sikujua vizuri thamani yake au umuhimu wa uwepo wake katika maisha yangu lakini nilijua kuwa its worthy to keep
Alpha Igogo