alphaigogo.com
Its Mothers’ Month - alphaigogo.com
Fina Nyongo na mama yake mzazi Mrs. Kimati. Hapa ni 6 yrs ago, ilikuwa siku ya Kitchen party ya Fina. Jamani, nani kama mama? Mama kimati akiomboleza kifo cha mme wake late Dr. Kimati. Tunamshukuru Mungu kwa kila jambo. Tunajifunza mengi sana toka kwa mama zetu; upendo, kuheshimu Mungu, uvumilivu,pia pamoja na jinsi ya kukabiliana na matatizo mbali mbali yanayo tupata
Alpha Igogo