alphaigogo.com
Its Mothers’ Month - alphaigogo.com
NANI KAMA MAMA?! Pichani ni Suzy Igogo na mama yake mzazi siku ya gratuation yake. Beautiful, wamependeza sana! Hapa Suzy na mama yake walikwenda kutembele makumbusho ya baba wa taifa kikijini Butiama. Mama yake Suzy yeye ni Mzanaki, kabila la marehemu baba wa taifa, lakini aliolewa Ujaluoni na baba yangu mkubwa hivyo mimi namwita mama mkubwa. Ubarikiwe sana mama yetu.
Alpha Igogo