alphaigogo.com
Its Mothers’ Month - alphaigogo.com
Bado tuna shereke mama zetu kwa mwezi huu wote. Pichani ni mama Eve Lance na mama yake kipenzi. Mmependeza sana watani zangu nani kama mama?! Ubarikiwe sana mama. Hapa ni mama Lance na binti yake kipenzi siku ya engagement.
Alpha Igogo