alphaigogo.com
Jared Fogle ahukumiwa miaka 15 na miezi 8! - alphaigogo.com
Mahakama imemuhukumu Jared Fogle kwenda jela miaka 15 na miezi 8 na life-time supervision. Pia fedha zake zitachukuliwa na kupewa watoto ambao waliathirika naye pamoja na ex-wife na wanawe. Unaweza google hilo jina lake na kusoma hukumu yote. Kuna baadhi ya watu ambao hawajafurahishwa na hukumu hiyo kwani wanasema alitakiwa kupewa kifungo cha maisha! Nilisha wahi andika story yake siku
Alpha Igogo