alphaigogo.com
Je, nimuhimu kuvaa pete ya ndoa kila wakati?! - alphaigogo.com
Katika pita pita yangu huko Facebook nikachungulia kwa mama wa “Wanawake Live” a.k.a “Mwanamke piga kazi” a.k.a “Super woman”……….. Nilipochungulia nikaona post ambayo chanzo chake ni Jamii Forum! Post hiyo ilikuwa inamuhusu yeye Joyce Kiria kuwa kwanini havai pete ya ndoa? Embu soma hiyo post hapa chini kabla ya kusoma maoni yangu Mimi naamini kuwa kuna umuhimu wa kuvaa pete ya
Alpha Igogo