alphaigogo.com
Je, umewahi sikia history ya madam Rita Paulsen! - alphaigogo.com
Sasa katika kuchungulia kwangu huko Instagram ili nione nini cha kuwaleta hapa, sinikakutana na page ya Madam Rita Paulsen. Nikaamua kuipiga chabo kidogo ?? Mbali na picha zake nzuri nikaona videos clips mbalimbali, nyingine Charles Hillary akicheza. Basi nikaamua kuitazama kwakuwa ilikuwa fupi nikasema ngoja niende kwa YouTube nikaiangalie zaidi. Dah! Si ndio nakutana na hii interview yake alifanya na
Alpha Igogo