alphaigogo.com
Je, unaishi mikononi mwa Farao?! - alphaigogo.com
Kuna wakati unakuwa inlove lakini actuallywewe ni kama Mtumwa aliyeko Misri kwenye himaya ya Farao! Umekazana kulia na kumfurahisha mpenzi wako ambaye hana tofauti na Farao. Lina roho ngumu, hajali hisia zako, anaku-treat wewe kama object halafu wewe unavumilia na kupoteza muda wako wakati hata ndoa hujafunga naye! Wakati huku nje kuna akina Musa kibao wanajaribu kukutoa utumwani Misri ili
Alpha Igogo