alphaigogo.com
Je! Unamfahamu vizuri huyo unayetaka kufunga naye pingu za maisha?! - alphaigogo.com
Je unamfahamu vizuri huyo unayetaka kuweka naye agano la milele? Embu sikiliza hii clip kutoka kwa huyu Mchungaji aitwaye Creflo Dollar, naamini utapata fundisho au wake up call fulani ........ https://youtu.be/gLkliZYYR8Y Tafadhali, picha ya Mr and Mrs Magufuli haihusiani na story. Nimetumia tu kwasababu ni couple, na nawapenda?
Alpha Igogo