alphaigogo.com
Je wajua hili? - alphaigogo.com
Wapendwa nimesoma hii kutoka kwa Facebook ya cousin yangu nikaona bora ni share nanyi. Lakini naomba ujue kuwa original source ya habari inatoka kwa NageriaCamera.net Inasemekana tunda la Mastafeli lina virutubisho muhimu sana ambavyo vinasaidia kuuwa vijududu vya kansa (anti-cancer) za aina zote! Inaponya magonjwa mengi ya tokanayo na bacterial na fungus. Vile vile inasaidia kulinda na kujenga upungufu wa kinga
Alpha Igogo