alphaigogo.com
Je, wamfahamu John Stephen Akwari?! - alphaigogo.com
Binafsi nilikuwa sijawahi msikia John Akwari mpaka juzi kati nilipokutana na hiyo ?post hapo juu. Labda nianze kwa kusema kuwa kwenye maswala ya michezo ukitoa netball, basketball, tennis, na swimming kwakweli mie si mpenzi sana wa michezo. Hivyo huwa siifatilii sana! Kwasababu hiyo ni utetezi tosha wa kwanini simfahamu John Akwari. Au pia niseme taifa letu limeshindwa kuwaenzi watu kama
Alpha Igogo