alphaigogo.com
Jinsi nilivyo kuja Marekani! - alphaigogo.com
Andrews university ndio chuo kilichonipa nafasi mimi ya kuja Marekani. Ngoja niwape story fupi ya safari yangu ya kuingia hapa. Siku zote nilikuwa natamani kusoma /kuishi nje ya Tanzania. Na mara nyingi nilikuwa napenda Australia, UK, na Marekani. Ilikuwa rahisi kujenga hisia zangu na maeneo hayo kwani mara nyingi nilivahatika kupata vijuzuu vinavyoonesha shule mbalimbali za nchi hizo. Basi, nikiwa katika
Alpha Igogo