alphaigogo.com
Jokate Mwegelo: Hukustahili kufa kwa namna ulivyouawa - alphaigogo.com
Regrann from @jokatemwegelo - Such a beautiful innocent young woman. ??❤ Aquilina Akwilini Baftaha, umefariki ukiwa kijana mdogo sana, kwa wakati ambao ndiyo haswa unatakiwa katika Jamii. Kifo chako kimetushtua na kimetugusa. Inawezekana tumeguswa kwa sababu mbali mbali na tofauti, ila tu uhakika ni kuwa imetuuma. Wengi tulikuwa hatukufahamu, lakini leo hii unawakilisha kundi kubwa la vijana wadogo kama wewe
Alpha Igogo