alphaigogo.com
Jokate Mwegelo katika ubora wake - alphaigogo.com
Napenda kuanza kwa kumshukuru Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Majani ya Chai. Alivyoniletea barua na kuniomba kuwa Mgeni Rasmi kwenye mahafali yao sikusita kwasababu ni mwalimu mkuu wa kipekee sana. Anaipenda kweli kweli shule anayoiongoza kuanzia walimu mpaka wanafunzi. Na leo nimeshuhudia hata yeye wanampenda sana na kumheshimu. Niko tayari kushirikiana nae kwa asilimia zote katika kuhakikisha hii shule
Alpha Igogo