alphaigogo.com
Jokate Mwegelo a.k.a Kidoti! Hongera sana - alphaigogo.com
Holy Cow! What a gorgeous lady! Nasikia kumbe huyu ndo wifi yangu kwa Ali Kiba! My brother! ? across the board! Hongera sana kaka Kiba kwa kumiliki binti mrembo, na mkarimu namna hii! Hongera sana Kidoti kwa kuja na school supplies za brand yako! .........Tumuunge mkono mrembo wetu ili azidi saidia watoto haswa mabinti wenye uwezo mdogo!Wow! Too cute!How nice! ??
Alpha Igogo