alphaigogo.com
Moshie Chilwana birthday dinner - alphaigogo.com
Mr and Mrs Chilwana. Wamependeza sana. Japo sina huwakika wameowana miaka mingapi lakini ukiwaangalia usoni unaona jinsi walivyo fanana kama ndugu vile. Kwenye upendo wa kweli hata sura uwonyeha! Mbarikiwe sana. Birthday girl akiangalia cake yake kwa furaha na sura ya shukran kwa Mungu na mumewe ? that nyama choma looks delicious ? Inapendeza kwakweli. Jamani kama couple hamkubahatika kufanya sherehe ya ndoa
Alpha Igogo