alphaigogo.com
Joyce Kiria: Mange Kimambi wewe ni SUPER WOMAN katika dunia yako - alphaigogo.com
Regrann from @joycekiriasuperwoman - NIWE MKWELI... @mangekimambi_ wewe ni SUPER WOMAN katika dunia yako... ukiamua lako unakomaaga, NAKUMBUKA WAKATI WA KAMPENI ULIVYOSIMAMA KIDETE, yaani kwa kweli niseme umetingisha nchi na MAANDAMANO yako.... Serikali ilivyokuongelea kwa nguvu tuu nikaogopaaaaaa ? kiukweli mimi nilikuwa na kiwewe cha hayo MAANDAMANO kuliko hata kihoro cha NDOA yangu? jana sijalala kabisa nawaza hayo
Alpha Igogo