alphaigogo.com
Jubilee ya miaka 25 ya Kowak Girls Secondary school. August 26th, 2017! - alphaigogo.com
Haya wana Kowak Girls Secondary school mpo!! Nimetumiwa ujumbe huu na Mkuu wa shule (soma ?) kuhusu Jubilee ya miaka 25 ya Kowak Girls, itakayofanyika tarehe August 26th, 2017. Tafadhali ukipata ujumbe huu mjulishe na mwenzako ili kuwezesha sherehe hii kufanikiwa........... Hongera sana Kowak Girls Secondary walimu, wahitimu, na wanafunzi wote! ? Soma ? (AboutKowakGirlsSec)
Alpha Igogo