alphaigogo.com
“jukumu kubwa la nchi za Afrika ni kuhakikisha zinaweka mazingira wezeshi ya kuwaendeleza wanawake katika nyanja zote.”~~~~Mh. Samia Suluhu - alphaigogo.com
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema jukumu kubwa la nchi za Afrika ni kuhakikisha zinaweka mazingira wezeshi ya kuwaendeleza wanawake katika nyanja zote. Samia ameyasema hayo leo kwenye Uzinduzi wa Jukwaa la Kuwawezesha na Kuwaendeleza Wanawake Afrika lililoandaliwa na Asasi ya Graca Machel na kufanyika kwenye Hoteli ya Hyatt Regency, jijini Dar es salaam. Makamu wa Rais alisema pamoja
Alpha Igogo