alphaigogo.com
Kagua mazingira kabla ya kuondoka! - alphaigogo.com
Wapendwa, naomba nikumbushe swala la kukagua mazingira ya tulipo kabla ya kuondoka. Kwa mfano angalia hiyo picha juu jinsi mtoto alivyo jificha. Sasa mtu kama hatojali kukagua mazingira yake kabla ya kuondoa gari inamaana mtoto huyu anaweza poteza maisha yake. Haya mambo yameshatokea sana. Na ndio maana nakumbushia. Hata kama wewe hauna mtoto hakikisha kuwa unaangalia kabla ya kuondoka kwani huwenda
Alpha Igogo