alphaigogo.com
kalamazoo wafurahia 4th of July! - alphaigogo.com
Wanajumuiya ya Kalamazoo walijumuika pamoja siku ya jana kusherekea siku ya uhuru wa inchi ya Marekani (Indepence Day) au kama watu wengi wapendavyo kuiita 4th of July! Kulikuwa na kula, kunywa. na kucheka kwingi! Bibi mama Kagumba naye alikuwepo nasi watoto, vijana, kwa wakubwa wote walifurahi sana Mtaalam wa BBQ akifanya mambo yake ni blogger Emmanuel Turuka wa Mungupamojanasi.comMr and Mrs Kagumba Hata mimi
Alpha Igogo