alphaigogo.com
Kama ulipitwa: Mali’s 50th birthday bash! - alphaigogo.com
Wapendwa kama ulipitwa na hii event basi ngoja leo ni TBS right! Angalia hii video ime summarize the whole birthday bash kwa muda mfupi lakini inapendeza sana. ❤ It! https://youtu.be/sJ8O4dCV6yg Btw, narudia kumpongeza sana Linda Bezuidenhout (LB) kwa kufungua duka la kisasa kabisa kwenye mazingira mazuri ya kuvutia ndani ya Phipps Plaza hapo Georgia! Hongera sanaaaaaa ??
Alpha Igogo