alphaigogo.com
Kesha la asubuhi: Heri wenye moyo safi; maana hao watamwona Mungu - alphaigogo.com
*KESHA LA ASUBUHI* ijumaa. *23/03/2018* *Usafi* ? *Heri wenye moyo safi; maana hao watamwona Mungu. Mathayo 5:8.* ??. Mtu akiwa ameondolewa ubinafsi kabisa, wakati kila mungu wa uongo anapoondolewa kutoka moyoni, ombwe hujazwa kwa mtiririko wa Roho wa Kristo. Mtu wa namna hiyo huwa anayo imani itendayo kazi kwa upendo na kusafisha moyo kutokana na kila uchafu wa kimaadili na kiroho. Roho Mtakatifu, Mfariji, anaweza
Alpha Igogo