alphaigogo.com
Kesha la asubuhi: Kujua yasiyo julikana - alphaigogo.com
*KESHA LA ASUBUHI* *JUMAPILI 8/4/2018* *KUJUA YASIYO JULIKANA* *_ Maana ni nani katika binadamu ayajuaye mambo ya binadamu ila roho ya binadamu iliyo ndani yake? Vivyo hivyo na mambo ya Mungu hakuna ayafahamuye ila Roho wa Mungu. 1 Wakorintho 2:11._* ?Ufunuo sio uumbaji au ugunduzi wa kitu kipya, bali dhihirisho la kile kilichokuwepo, ambacho hadi kilipofunuliwa, hakikuwa kikifahamika kwa wanadamu. Ukweli ulio mkuu na
Alpha Igogo