alphaigogo.com
Kesha la asubuhi: Kuongozwa kwa Njia ya Ushuhuda Ulioandikwa - alphaigogo.com
*Kesha la Asubuhi* *Alhamisi, Tarehe 19/4/2018* *Kuongozwa kwa Njia ya Ushuhuda Ulioandikwa* ▶Na waende kwa sheria na ushuhuda; ikiwa hawasemi sawasawa na neno hili, bila shaka kwa hao hapana asubuhi. Isaya 8:20. ▶Daima Roho Mtakatifu anaongoza kwenye Neno lililoandikwa na huwa anavuta usikivu katika suala la kiwango kikuu cha maadili cha uadilifu. Kuheshimiwa na Mungu kwa namna hiyo kwa kupata fursa hii ya pekee
Alpha Igogo