alphaigogo.com
Kesha la asubuhi: Kuweka msingi thabiti - alphaigogo.com
*KESHA LA ASUBUHI* _JUMAPILI APRILI 29, 2018_ *Kuweka Msingi Thabiti* ? Sauti ya Mungu inanena nasi kupitia katika Neno lake na zipo sauti nyingi tutakazozisikia; lakini Kristo amesema tuwe macho dhidi ya wale watakaosema, Kristo yupo hapa au Kristo yuko kule. Sasa, tutajuaje kwamba hawana ukweli, kama tusipoleta kila kitu kwenye Maandiko? Kristo ametuonya kuwa macho na manabii wa uongo ambao watatujia katika
Alpha Igogo