alphaigogo.com
Kesha la asubuhi: Kuzungukwa na ngao ya Mungu - alphaigogo.com
*KESHA LA ASUBUHI* *Alhamisi 03/05/2018* *Kuzungukwa na Ngao ya Mungu* Ukaniite siku ya mateso; Nitakuokoa, na wewe utanitukuza. Zaburi 50:15. ?Majaribio yanapoinuka ambayo yanaoelekea kutoku-elezeka, hatupaswi kuruhusu amani yetu kuharibiwa. Hata tutendewe isivyo haki kiasi gani, hebu hasira kali isiinuke. Kwa kuendekeza roho ya kulipiza kisasi tunajidhuru sisi wenyewe. Tunaharibu imani yetu wenyewe kwa Mungu, na kumhuzunisha Roho Mtakatifu. Kando yetu yuko Shahidi, Mjumbe
Alpha Igogo