alphaigogo.com
Kesha la asubuhi: UKARIMU - alphaigogo.com
*KESHA LA ASUBUHI* _JUMATANO MACHI 21, 2018_ *Ukarimu* ```Maana walipokuwa wakijaribiwa kwa dhiki nyingi, wingi wa furaha yao na umaskini wao uliokuwa mwingi uliwaongezea utajiri wa ukarimu wao. 2 Wakorintho 8:2.``` ? Ni pale tu makusudi ya Mkristo yanapotambulika kikamilifu na dhamiri inapoamshwa kwa ajili ya wajibu, ambapo nuru ya Mungu huweka mguso kwenye moyo na tabia, huo ubinafsi unashindwa na nia ya Kristo
Alpha Igogo