alphaigogo.com
Kesha la asubuhi: Upendano wa ndugu - alphaigogo.com
*KESHA LA ASUBUHI* ```JUMANNE MACHI 20, 2018``` *Upendano wa Ndugu* Kwa pendo la udugu, mpendane ninyi kwa ninyi; kwa heshima mkiwatanguliza wenzenu. Warumi 12:10. ✍? Roho Mtakatifu anapoingia kwenye mawazo ya mtu, malalamiko na mashtaka madogo madogo baina ya mtu na watu wenzake yatatupiliwa mbali. Mionzi angavu ya Jua la Haki itang’aa kwenye vyumba vya moyo na akili. Katika ibada yetu kwa
Alpha Igogo