alphaigogo.com
Kheri na furaha ya siku ya wakina baba duniani! - alphaigogo.com
Kwa kutumia hii picha ya cousin-brother wangu na binti yake, naomba niwatakie kheri na furaha ya siku ya wakina baba duniani kwa wakina baba wote wenye mapenzi mema kwa watoto wao! Hii ni maalum kwa cousin-brothers zangu wote, kaka zangu wote wakubwa kwa wadogo, na marafiki zangu wote! Mungu azidi kuwapa hekima na busara pamoja na mapendo ya kuweza kufanya
Alpha Igogo