alphaigogo.com
Kheri ya kuzaliwa Mfalme Kiba! - alphaigogo.com
Almost missed it!! Kheri ya kuzaliwa Mfalme Ali Kiba. Nakutakia furaha na amani nyingi katika maisha yako. Ukapate kubarikiwa zaidi katika kazi zako. Happy birthday brother!
Alpha Igogo