alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wangu! - alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa mdogo wangu / jirani yetu Janet a.k.a Mrs Samora! Mungu akuzidishie neema na baraka zake. Furaha na amani vikadumu ndani ya nyumba yenu, upendo ukaimarike zaidi ndani yako na familia yako. ......Asante sana kwa kuwa jirani mwema. Tumekuwa wote, nyumba zetu upande mmoja tuna share ukuta na geti moja, ufunguo wa geti mmoja unakaa kwenu
Alpha Igogo