alphaigogo.com
Kheri ya siku ya kuzaliwa Mwl. Ngonyani - alphaigogo.com
Nakutakia kheri ya siku ya kuzaliwa mzee wangu Mwl. Ngonyani. Mungu akulinde, akupe afya njema, na furaha tele. Pia uwe na kheri ya kumaliza mwaka 2015 na kuuanza mwaka 2016. Ubarikiwe siku zote. Much love from Texas.
Alpha Igogo