alphaigogo.com
Kichuna cha Kizaramo katika ubora wake! - alphaigogo.com
Jamani huyu Kichuna Cha Kizaramo ni mkariiiiii ♨♨ Yani amekamilika idara zote, uchumi, afya, na jamii ?? Angalia apa alikuwa anaandalia familia yake Thanksgiving ???hivyo idara ya afya anaikabili sawasawa . Nguo aliyovaa kashona mwenyewe???yani product ya LB collection hiyo mambo ya ??napo amekamilika ?? tatizo ni matumizi yeye anasema Wazaramo na party ni kitu iko kwa damu ?? anyway na
Alpha Igogo