alphaigogo.com
Kila mtu huwa anafikiria tumbo lake kwanza! - alphaigogo.com
Kila mtu anafanya kazi kwa kufikiria tumbo lake kwanza! Awe mfanya biashara, mwanasiasa, muajiriwa wa mahala popote pale au mwanaharakati wa jambo lolote lile wote kwa ujumla wao wanafanyakazi kwa kufikira matumbo yao kwanza! Na hakuna ubaya wowote kwani hizo ndio njia zao za kujipatia kipato ili waendeshe maisha yao. Huu ni ukweli ambao hauwezi pingika, ndio maana hakuna mtu atajiita
Alpha Igogo