alphaigogo.com
Kumbukumbu - alphaigogo.com
Leo tarehe 12.10.15 umetimiza mwaka mmoja toka ututoke tarehe 12.10.14 katika hospitali ya Muhimbili. Umeacha pengo kubwa katika familia ya Marehemu Philip Ambrose Macha.Unakumbukwa daima na watoto wako Maryam,Mustara. U nakumbuka na watoto wa dada zako na kaka. Unakumbukwa na dada zako Saum, Maryam, Thanisa, mama wakubwa, wadogo, kaka, mashangazi, wajomba, team Manchester, mtani jembe, wanajumuiya wa Fransis wa exaver,waumini
Alpha Igogo