alphaigogo.com
Kupachika majina - alphaigogo.com
Kunatabia ambayo baadhi ya watu wanayo yakupenda kupachika watu wengine majina ya bandia (labeling people) kutokana na maumbile yao kama unene au ulemavu wa kiungo fulani au mahala wanapo ishi. Huwenda wanafanya hivyo kwa kujua au kutokujua lakini kiufupi si tabia nzuri na si tabia ya kiungwana hata kidogo. Utakuta mtu anapachikwa jina
Alpha Igogo