alphaigogo.com
Kutana na my nephew Elvin - alphaigogo.com
Mmemuona nephew wangu eeh?! Yeye anasema ni team Dr. Magufuli kwa as ilimlia zote! Na jezz amevaa kuweka msisitizo :) :) Sasa mwanangu wewe ni chotara wa Kenya na Tanzania inabidi umkazanie Dr. Magufuli apitishe ile kitu ya Dual-citizationship maana kumsupport kote huku halafu ukifika 18 eti uchague inchi hapana kwakweli :) Safi sana mwanangu! Mungu akulinde akubariki sana uwe na
Alpha Igogo