alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Leo kutoka Facebook nimependa hizi picha za mtani wangu! Katufanyia surprise ya mwaka?? yani huyu Muhaya kaenda nyumbani kwetu Utegi, Rorya, Mara akapiga na picha mbele ya nyumba yetu halafu akaja kuzirusha Facebook! Kweli wewe Muhaya kiboko!!! Au ndo una nyemelea 'makaratasi' ya Utegi??Mtani asante sana kwa kufika nyumbani kwetu. That place is so dear to my heart! That is where
Alpha Igogo