alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Nimependa sana hii picha ya Bella Ayugi-Twaakyondo. Kwakweli kapendeza sana, uzuri wa asili, na lipstick ya rangi iliyo tulia vinavutia. Inaaonyesha ni jinsi gani Bella anajikubali na kujiamini ndiyo maana hajaangaika na makoro koro mengi usoni. Big up Bella.
Alpha Igogo