alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Wapendwa wasomaji wangu, naomba mniwie radhi! Ninamambo mengi nimebanwa hivyo muda unakuwa hautoshi ndio maana inaweza pita siku sija blog. Silipwi na mtu kublog nafanya kwa hiyari yangu hivyo nipale tu ninapopata muda wa ziada ndipo ninapoweza ku blog!...............Kwasababu hiyo kuanzia leo katika kile kipengele cha
Alpha Igogo