alphaigogo.com
Kutoka Facebook - alphaigogo.com
Hahaha! Ngoja nicheke kwanza, maana mambo yamekuwa mambo hahaha! Usifikiri mtu anajiandaa na harusi yake, hapana. Haya ni maandalizi ya Zari the Bosslady All White Party. Kitu cha May Mosi 2015 pale Mlimani City :) :) chezea mtoko wa Diamond na Bosslady wewe sharti uvae gauni la harusi :) :)
Alpha Igogo